Musiba: Hofu

Available
0
StarStarStarStarStar
0Reviews
Unknown authorUnknown author
Mauaji ya kikatili yanafanyika karibu na mji wa Uitenhage nchini Afrika Kusini siku ya kuwakumbuka wazalendo, waliouawa mjini Sharpeville mwaka 1960. Makaburu wanajawa na hofu kwa mauaji hayo, na wanawatilia shaka kuwa ni njama za kikundi cha watu weusi za kutaka kupindua mfumo wa Serikali yao ya Ubaguzi wa Rangi. Uongozi wa Makaburu wa Afrika Kusini wakiongozwa na Mkurugenzi wa Shirika la Ujajusi...
Read more
E-book
epub
Price
51.98 £

Options

  • Formats: epub
  • ISBN: 9789987449927
  • Publication Date: 27 Jun 2023
  • Publisher: Mkuki na Nyota Publishers
  • Product language: Swahili
  • Drm Setting: DRM