Mtobwa: Pesa Zako Zinanuka
Available
Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, ëNo Money Smellsí, kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai ìzipo, na zanukaî. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anak...
Read more
product_type_E-book
epub
Price
15.02 £ * Old Price 16.00 £
Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, ëNo Money Smellsí, kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai ìzipo, na zanukaî. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anak...
Read more
Follow the Author